Home Habari za michezo YAYA AJA NA UTABIRI HUU USHINDI AFCON

YAYA AJA NA UTABIRI HUU USHINDI AFCON

Kiungo wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya Touré atoa utabiri wake wa Timu za Taifa zenye nafasi ya kushinda kombe la Mataifa barani Afrika AFCON 2024 Nchini Ivory Coast.

Yaya ambae ni raia wa Ivory Coast amezitaja timu tano ambazo anaona zina nafasi ya kufanya kweli mwakani.

Yaya ametaja mataifa kama;

Ivory Coast

Senegal

Morocco

Guinea-Bissau

Africa Kusini.

Unadhani Yaya Toure yuko sahihi? Tupe maoni yako

SOMA NA HII  KIMEUMANAAH...FCC YAINGILIA KATI MKATABA WA GSM NA LIGI KUU...YATANGAZA MAAMUZI HAYA...