Home Habari za michezo KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

Meridianbet

Leo Jumatano katika ligi ya mabingwa barani ulaya ni kivumbi kwani itapigwa michezo kadhaa ya kibabe ya hatua ya makundi ambayo itakua ndio michezo ya kumalizia hatua hiyo ambapo Meridianbet wametoa ODDS KUBWA kwenye michezo hiyo.

Kuna vilabu kadhaa ambavyo bado havijafanikiwa kujihakikishia kufuzu hatua ya 16 ya ligi ya mabingwa ulaya, Hivo michezo ya leo ni fursa ya wao kujihakikishia kufuzu hatua inayofuata katika michezo yao ya mwisho ya hatua ya makundi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Moja ya michezo ya kusisimua iinatoka katika kundi F ambalo wengi waliliita kundi la kifo ambapo mpaka sasa klabu ya Borussia Dortmund pekee ndio wamejihakikishia kufuzu hatua inayofuata ya 16, Lakini vilabu vingine vitatu bado vina nafasi ya kufuzu hatua inayofuata.

Borussia Dortmund wao wakiwa wameshafuzu hatua inayofuata watakua nyumbani kucheza na PSG ambapo PSG wakishinda mchezo huu watakua wamejihakikishia kufuzu hatua ya 16 bora ambapo watakua na alama 10, Huku pale St. James Park Newcastle wataikaribisha Ac Milan ambapo kila mmoja ana alama 5 na yeyote atakayeshinda mchezo huu na PSG kupoteza atafuzu hatua ya 16 bora.

Michezo hiyo ndio itakua michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu na michezo kadhaa itakua inaamua hatma ya timu kadhaa kwenda hatua inayofuata ya 16 bora, Hivo itakua michezo yenye kuvutia ambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII