Home Habari za michezo KUHUSU KUFUZU KOMBE LA DUNIA SIMBA NAFASI YAKE HII HAPA AFRIKA

KUHUSU KUFUZU KOMBE LA DUNIA SIMBA NAFASI YAKE HII HAPA AFRIKA

Shirikisho la soka duniani FIFA limetoa mchanganuo juu ya namna timu zinaweza kufuzu Kombe la Dunia la vilabu mwaka 2025, huku kwa upande wa bara la Afrika Simba SC wapo nafasi ya saba (7) wakiwa na alama 45.

Kwenye rank hii timu tatu za juu ndio zenye nafasi ya kushiriki mashindano hayo mwaka 2025 moja kwa moja.

Ili Simba iweze kufuzu inawajitaji kuongeza alama 36 ili wawavuke Mamelodi walio nafasi ya tatu wenye point 81.

Hilo likishindikana basi inabidi wawe mabingwa wa Klabu bingwa CAFCL, nafasi za Afrika ni timu nne tu.

Rank ya FIFA Al Ahly ———————Pts 110 Wydad ———————Pts 102 Mamelodi —————-Pts 81 ES Tunis ——————Pts 75 Belouizdad ————-Pts 59 Petro de Luanda —-Pts 49 SIMBA ———————Pts 45 Raja ————————-Pts 45 Al Hilal ———————Pts 33 Horoya ———————-Pts 29

SOMA NA HII  NGOMA NA MKUDE WAWEKWA JAHAZI MOJA KISA HIKI HAPA