Home Habari za michezo MERIDIANBET WAPELEKA TABASAMU KWA ‘MRC’ YA KIGAMBONI….

MERIDIANBET WAPELEKA TABASAMU KWA ‘MRC’ YA KIGAMBONI….

Meridinbet

Hodi hodi Kigamboni, hicho ni kishindo cha Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, meridianbet ambao walifika eneo hilo na kuanza kufanya kile ambacho kimewapeleka katika kituo hicho MRC (Muungano Recovery Community Tanzania) Kigamboni kinachohusika na waathirika wa dawa za kulevya.

Mhariri mkuu wa Meridianbet Nancy Ingram, Abubakar Kulindwa mpiga picha, na wengine ambao kwa pamoja walifika katika eneo la tukio na kuanza kutoa msaada haraka iwezekanvyo ikiwa ni kama mojawapo ya shughuli za meridianbet kurudisha kwa jamii.

Ikumbukwe kuwa jambo la kurejesha kwenye jamii si jambo geni kwa meridianbet kufanya bali ni zoezi endelevu ambalo huwa wanafanya kila mwezi kwa lengo la kuwafikia wenye mahitaji mbalimbali kama wasiojiweza, wafanyabiashara na wengine wengi.

MeridianbetUgawaji wa vyakula na vifaa vya usafi ulianza 6 mchana ambapo baadhi ya vifaa vilivyopelekwa ni pamoja na Vyakula kama vile mchele na sukari na vifaa vya kufanyia usafi kama vile sabuni.

Mhariri huyo wa meridianbet kampuni kubwa kabisa ya ubashiri Tanzania nzima wakisifika kwa ODDS KUBWA, alisema kuwa msaada huo utaenda kuwasaidia watu hao kwaajili ya matumizi yao ya kila siku kwani chakula ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Baada ya kupokea msaada huo viongozi wa MRC Kigamboni walifurahia sana ujio wa Meridianbet kwa kuwafikia na kuwashukuru sana kwani vyakula na vifaa hivyo vitawasaidia kwa namna moja au nyingine kwa siku hizi na kuwaomba watu wengine waige mfano wa meridianbet kwani kujali wengien ni jambo zuri sana.

Lakini pia hawakuishia hapo waliomba meridianbet warudi tena siku nyingine kwani watu hao walioathirika na madawa ya kulevya ni wengi na msaada unahitajika ni mkubwa sana.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Meridianbet nao baada ya kumaliza tukio hilo la kutoa msaada kwa waathirika wa madawa ya kulevya, waliwaambia kuwa watarudi tena siku nyingine kwaajili ya kuwasaidia watu hao.

SOMA NA HII  BAADA YA MBAMBAMBA NYIINGIII...HATIMAYE YANGA KUITUMIA SIMBA KUTINGA MAKUNDI CAF..