Home Habari za michezo PAMOJA NA WIKIENDI KUISHA….ODDS ZA PESA NDANI YA MERIDIANBET LEO ZIMEANGUKIA HAPA..

PAMOJA NA WIKIENDI KUISHA….ODDS ZA PESA NDANI YA MERIDIANBET LEO ZIMEANGUKIA HAPA..

Meridianbet

Wikendi imeshaisha na tayari kuna watu wamejipigia mkwanja hapo jana, basi na wewe leo hii una nafasi ya kushinda mkwanja huo ukichagua machaguo sahihi ndani ya meridianbet. Ingia meridianbet na ubashiri leo leo.

Mozambique leo hii ataumana dhidi ya Ghana huku timu zote zikiwa hazijashinda mechi yoyote hadi sasa kwenye michezo yao miwili ambayo wamecheza. Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa Ghana na 5.68 kwa Mozambique. Je Mohamed Kudus kuibeba tena timu yake kama alivyofanya mechi iliyopita?. Bashiri hapa .

Huku Kinara wa kundi A Equatorial Guinea atakiwasha dhidi ya mwenyeji wa michuano hii Ivory Coast ambaye yeye yupo nafasi ya 3 na pointi zake tatu baada ya kushinda mechi 1 na kupoteza mechi 1. Ivory yenye wachezaji mastaa kama Franck Kessie, Ibrahim Sangare, Seko Fofana na wengine kuibeba timu yao leo? Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 9.60 kwa 1.34. Je nani kushinda leo, bashiri na meridianbet sasa.

Si kubashiri tuu, bali unaweza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni ambayo hii inaweza kukupatia pesa papo hapo, ikiwemo Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, Sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.

Mechi nyingine ni hii hapa inayowakutanisha kati ya Guinea Bissau dhidi ya Nigeria mabo mechi iliyopita walipata ushindi mwembamba kupitia kwa Victor Osimhen. Guinea ndiye kibonde kwenye kundi hili kwani mpaka sasa hajashinda mechi yoyote huku akipewa ODDS 15.68 kwa 1.16 kushinda mechi hii. Nigeria wao wameshinda mechi moja na sare moja. Beti yako unaiweka wapi kati ya mechi hizi mbili?

Cape Verde dhidi ya Egypt watakiwasha majira ya saa 5:00 usiku, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Misri kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.66. Ikumbukwe kuwa timu hiyo itamkosa Mohamed Salah ambaye ni moja ya wachezaji tegemezi kabisa kwenye timu hiyo ambaye ameumia na amerejea Liverpool kambini kwaajili ya matibabu. Verde wamesinda mechi zao zote mbili huku Misri wakiwa wametoa sare mechi zote. Leo nani ni nani?. Jisaji hapa na ubeti.

SOMA NA HII  KAMA ULIKUWA HUJUI...YANGA NA NABI WADAIWA DENI HILI LA CAF...LAZIMA LILIPWE LEO...LA SIVYO SIMBA ITAENDELEA KUWA JUU...