Tovuti maarufu ya takwimu za mpira wa Miguu Duniani (OPTA ANALYST) imetoa orodha ya vilabu vyenye kujiweza kifedha (utajiri) na ubora barani Afrika kwa Mwaka 2024 Africa’s Best Football Clubs (Financialy and Quality – 2024)
Orodha ipo kama ifuatavyo :
1. Mamelodi Sundowns
2. Al Ahly
3. Raja Casablanca
4. FAR Rabat
5. CR Belouizdad
6. Young Africans SC
7. Esperance
8. MC Alger
9. Pyramids FC
10. Wydad Casablanca
11. Petro de Luanda
12. Simba SC
13. USM Alger
14. RS Berkane
15. FUS Rabat
Inaelezwa kuwa Yanga imepanda kwenye nafasi hiyo kwa kuzingatia uwiano wake wa kununua na kuuza wachezaji, ambapo kwa takwimu za hizi karibuni imeaiacha Simba mbali.
Yanga kwenye misimu mitatu nyuma imenunua ‘cash’ wachezaji zaidi ya watano, huku Simba wakisajili wachezaji wengi wakiwa wamemaliza mikataba au kuachwa kwenye timu walizotoka.
Chama lako lipo nafasi ya ngapi?
SOMA NA HII EDO KUMWEMBE - KITUO KINACHOFUATA KWA SIMBA NI KWA WAKUBWA WENZAO...TUTAONA UKUBWA WAO..