Home Habari za michezo IMALIZE SIKU KWA KUJAZA ODDS HIZI ZA USHINDI KWENYE MKEKA WAKO WA...

IMALIZE SIKU KWA KUJAZA ODDS HIZI ZA USHINDI KWENYE MKEKA WAKO WA MERIDIANBET…

Meridianbet

Ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea tena leo katika madimba tofauti tofauti ambapo itapigwa michezo mikali ya kukata na shoka, Huku nafasi ya kuweza kupiga mkwanja kupitia michezo hiyo ikiwa kubwa zaidi.

Sehemu pekee ambayo unaweza kupiga mkwanja kupitia michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya ambayo itapigwa leo ni Meridianbet pekee mabingwa wa michezo ya kubashiri wakiwa wamemwaga ODDS KUBWA katika michezo ya leo.

Pale katika dimba la Estadio do Dragao nchini Ureno utapigwa mchezo mkali sana ambapo klabu ya Fc Porto itakua inashuka dimbani leo kuikaribisha klabu ya Arsenal katika mchezo wa hatua ya 16 bora wa ligi ya mabingwa ulaya.

Klabu ya Arsenal inakwenda ugenini kukipiga na Porto lakini inapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo kama wapo nyumbani, Hii inatokana na ubora ambao wamekua nao siku za hivi karibuni katika michezo yao.

Mchezo mwingine ambao utakua wa kukata na shoka utapigwa pale katika dimba la Diego Armando Maradona ambapo klabu ya Napoli itakua nyumbani kuwakaribisha mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Hispania klabu ya Fc Barcelona.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali kutokana na fomu ya timu hizo kwasasa kwani sio timu ambazo zinapata matokeo mazuri mfululizo, Huku zikionekana zipo kwenye uzani sawa hivo mchezo baina yao utakua ni wenye ushindani mkubwa uzuri nmi kua timu hizo zimepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

SOMA NA HII  GEITA GOLD YAWASHA TAA MCHANA....WAIKUNG'UTA KAGERA 'CHA UCHUNGU'...MPOLE NA MAYELE SAWA TU...