Home Habari za michezo MANULA NA TECNO NDANI YA MPANGO HUU….MASHABIKI WOTE WA SOKA LINAWAHUSU HILI…

MANULA NA TECNO NDANI YA MPANGO HUU….MASHABIKI WOTE WA SOKA LINAWAHUSU HILI…

TECNO

Busti kipaji ndio kampeni iliyomkutanisha Mlinda Goli namba mmoja wa Timu ya Taifa Stars na Club ya Simba Sports Bwana Aishi Manula na kampuni ya simu TECNO Mobile Tanzania lengo likiwa ni kumsaidia mtoto wa Kitanzania kufikia ndoto zake kupitia mpira wa miguu kwa kuchagia katika kumsaidia kupata Kiatu cha mpira.

Kampeni inasema kwa kila TECNO SPARK 20 series moja iwe TECNO SPARK 20, SPARK 20 PRO au SPARK 20 PRO+ utakuwa umechangia kumtengeneza Aishi Manula wa baadae au mchezaji yeyote mwenye kuvutiwa naye kwenye tasnia ya mpira wa miguu.

TECNO SPARK 20 PRO+ ni simu ya kisasa yenye sifa lukuki lakini sifa kuu zikiwa ni muonekano wa muundo wa kisasa wa Double curved, kamera kali ya nyume yenye Megapixel 108 pamoja teknolojia ya kung’arisha picha hasa nyakati za giza yenye kufahamika kama ‘9in1’ na Chipset yenye uwezo mkubwa wa mobile gaming Mediatek Helio G99.

Cheza Games Za Mipira Na Helio G99;
Tunajuana wapenzi wa kabumbu, kuna muda tunatumia simu zetu kucheza mpira TECNO SPARK 20 PRO+ itakuwa urahisi wa kufurahia kabumbu wakati wowote.

Simu hii mahiri imekuja na Chipset ya Mediatek na inaperformance nzuri ya G99 ni moja kati ya simu za daraja la kati zenye performance nzuri na uzuri zaidi simu ikiwa nyepesi wakati wa matumizi hata swala la chaji si la kuwaza kwani nguvu inayotumika si kubwa na chaji haiwezi tumika kwa kiasi kikubwa.

Pata Picha Kali Nyakati Za Usiku Na 9in1;
SPARK 20 PRO+ pamoja ya kuwa na Megapixel 108 kama kamera kuu ya nyuma pamoja camera saidizi mbili lakini bado TECNO wametuzingatia wana wa picha za usiku kupitia teknolojia ya 9in1 giza haliwezi kukuzuia na wana kupata picha kali.

Pikseli ya 9in1 inafanya kazi ya kunyakuwa mwangaza zaidi na kuiongezea ubora picha ambayo ingechukulia bila ya pikseli ya 9in1 kwa mng’ao wa silimia 900%.

Jione Wa Kisasa Na Double Curved Display
Uzuri wa kitu unaanzia kwenye muonekano. TECNO SPARK 20 PRO+ inamuonekano wa muundo wa simu za Samsung S series yani ni simu ya daraja la kati lakini inakuheshimisha na muundo wake wakisasa.

Ni simu yenye wigo mpana wa kioo cha inch 6.78 na refresh rate 120Hz itakufanya kuona matukio ya mpira na picha za wasakata kabumbu uwapendao katika mionekano halisi.

Tembelea duka lolote la Infinix lililopo karibu yako nunua TECNO SPARK 20, SPARK 20 PRO AU SPARK 20 PRO+ ufurahie teknolojia mpya zilizopo kwenye simu hii na kumchangia mtoto wa Kitanzania.

SOMA NA HII  ITUMIE SLOT YA WILD SPIN KULAINISHA UGUMU WA JANUARI KUPITIA MERIDIANBET CASINO...