Home Uncategorized KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN

KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN


ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.

Stars inashiriki michuano ya CHAN ikiwa kund D lenye timu nyingine ambazo ni Guinea, Zambia na Namibia yatafanyika mwezi Aprili nchini Cameroon.

“Maandalizi mazuri yanahitajika kwa ajili ya ushindi kwenye mashindano yetu nina amini kwamba kila kitu kitakuwa sawa na tupo tayari kwa ajili ya ushindani,” amesema.

Michuano ya CHAN inahusisha Wachezaji wanaocheza katika vilabu vya ndani kwa Afrika.

SOMA NA HII  RASMI, SAMATTA AANZA MAZOEZI ASTON VILLA AKIANDIKA REKODI