Home Habari za michezo WAFANYABIASHARA WADOGO COCO BEACH WAFIKIWA NA MERIDIANBET…

WAFANYABIASHARA WADOGO COCO BEACH WAFIKIWA NA MERIDIANBET…

Meridianbet

Meridianbet imewafikia wafanyabiashara wadogo wanaopatikana maeneo ya Coco Beach jijini Dar-es-salaam ambapo wamefika eneo hilo kwajili ya lengo moja tu nalo ni kutoa msaada wajasiriamali hao.

Utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kwa muda mrefu sasa umekua ni kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka, Hivo leo wamefika eneo la Coco Beach na kutoa msaada wa Aprons kwa wauza mihogo eneo hilo ambapo itasaidia katika kuimarisha usafi.

Kugawa Aprons katika eneo la Coco Beach ni wazo zuri kwani litaweza kuimarisha usafi katika eneo hilo, Lakini pia kuwaweka wahudumu hao katika mazingira safi jambo ambalo linaweza kulinda afya za watu.

Aidha Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza kuhusiana na jambo walilolifanya leo” “Tunafahamu kabisa umuhimu wa usafi binafsi kwa kila mtu, na usafi binafsi ndio wa umuhimu sana katika kuimarisha Zaidi utunzaji wa mazingira katika maeneo ya biashara, hasa hasa eneo kama hili la biashara ya vyakula”

Wafanya biashara hao wadogowadogo wanaopatikana maeneo ya Coco Beach wametoa shukrani kwa kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa” Tunashukuru sana Meridianbet kufika mahala hapa ma kutupatia msaada wa Aprons, Lakini pia ningependa kutoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano kwa Meridianbet”

Suka mkeka wako na Meridianbet, kwani wana ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

SOMA NA HII  KISA 'KAGOLI KAMOJA' JANA....GAMONDI AOMBA RADHI YANGA...