Home Habari za michezo WAKATI SIMBA, YANGA ZIKIWAOGOPA MAMELOD…WENYEWE WANAITAKA TIMU HII ROBO FAINAL…

WAKATI SIMBA, YANGA ZIKIWAOGOPA MAMELOD…WENYEWE WANAITAKA TIMU HII ROBO FAINAL…

WACHEZAJI MAMELODI WASHIKWA NA NJAA…TUOMBE WASIKUTANE NA SIMBA SC

Klabu ya Mamelodi Sundowns wana vita yao binafsi na Klabu ya Esperançe de Tunis ya nchini Tunisia kutokana na Klabu hiyo kukaa juu yao katika Orodha ya Vilabu bora Afrika tena kwa Pointi chache hali inayoweza kuwaletea kiwingu mbeleni katika kampeni yao ya kutaka kucheza FIFA World Cup ijayo.

Esperançe katika Rank za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF wapo katika nafasi ya 3️⃣ na alama 51 juu ya Mamelodi ambao wapo chini yao katika nafasi ya 4️⃣ na alama zao 49.

Hii inamaanisha endapo Mamelodi Sundowns watapangwa kucheza mchezo wa Robo Fainali ya #CAFCL dhidi ya Esperançe na wakafanikiwa kuitoa wao ndio watapanda juu mpaka nafasi ya 3️⃣ kwa alama 55.

“Nje faida ya alama tutazozipata Mamelodi kwa Esperançe pia tatuweza moja kwa moja kukata Tiketi ya kushiriki Kucheza Michuano ya Kombe la Dunia kwa Vilabu.. Tunawataka hawa.”- umeandika ukurasa maarufu wa mashabiki wa Mamelodi Sundowns (masandawanavlog) kupitia mtandao wa kijamii wa x.com.

SOMA NA HII  BAADA YA KUFUNGIWA MIAKA 5 KUTOJIHUSISHA NA SOKA....MAKATA, NAFTARI WAIBUKA NA HILI DHIDI YA TFF NA BODI YA LIGI..