Habari za Yanga leo
Habari za michezo

AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI

Marce Ben Komba April 17, 2024 10:33 pm

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa mwezi Machi.

Aziz amewashinda beki Ibrahim Bacca na kiungo Mudathir Yahya ambao ameingia nao Fainali., Stehpane Aziz Ki atakabidhiwa kitita cha shilingi milioni 3 kutoka kwa wadhamini wa tuzo.

STAA YANGA:- PACOME ANATUMIA NGUVU NYINGI…CHAMA ANATUMIA AKILI NYINGI…ANAMCHAMBUA HADI KIPA EDO:- VIONGOZI SIMBA WANARUDIA SANA MAKOSA ….HAWAJUI TATIZO LILIPO..