Home Habari za michezo JIBWEDE NA MAOKOTO YA MERIDIANBET JUMANNE YA LEO

JIBWEDE NA MAOKOTO YA MERIDIANBET JUMANNE YA LEO

Meridianbet

Leo hii mechi nyingi na kali za EPL yani ligi kuu ya Uingereza zinaendelea na wewe mteja wa meridianbet leo ndiyo siku yako ya kutusua mkwanja. Suka mkeka wako na ubashiri hapa.

Tottenham Hot Spurs atakuwa ugenini leo hii kumenyana dhidi ya West Ham United ambayo hii ni London Derby majira ya 4:15. Vijana wa David Moyes amepoteza mchezo wake uliopita huku Spurs akishinda mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho walipokutana Wagonga Nyundo wa London walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 3.19 kwa 1.98. Tengeneza jamvi hapa.

Huku AFC Bournemouth baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atapepetana dhidi ya Crystal Palace. Bournemouth amepewa ODDS 1.96 kushinda mechi hii na Palace wao wamepewa ODDS 3.57. Tofauti ya pointi kati yao ni 8. Suka mkeka wako na Meridianbet.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Newcastle United baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakua nyumbani katika dimba la James’ Park kukiwasha dhidi ya Everton ambao wao walipoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, The Toffees walishinda. Je leo hii kwa ODDS ya 1.96 kwa 3.52 nani kuondoka na ushindi?. Beti mechi hii.

Huku Nottingham Forest wao watatunishana misuli dhidi ya Fulham vijana kutoka Craven Cottage ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wapo nafasi ya 17 na mara ya mwisho walipokutana, walipoteza. Mechi hii ndani ya Meridianbet wamepewa ODDS 2.65 kwa 2.55. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.

Burnley atacheza dhidi ya Wolverhampton Wanderers ambaye yupo nafasi ya 10 kwenye ligi. Burnley chini ya Kompany wametoka kutoka sare mchezo wake uliopita. Je leo hii wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

SOMA NA HII  RUVU SHOOTING YAINGIA SOKONI KUSAKA MAJEMBE YA KAZI