Home Habari za michezo MAKONGO YAFIKIWA NA MERIDIANBET….

MAKONGO YAFIKIWA NA MERIDIANBET….

Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo wamefanikiwa kufika katika kata ya Makongo tawi la Mlalakua wakiwa na shughuli moja tu na sio nyingine ni kutoa msaada katika eneo hilo.

Kurudisha kwenye jamii inayowazunguka au jamii kufaidika na Meridianbet sio jambo geni kwa kampuni hiyo, Hivo leo waliendelea na utamaduni wao ambapo walifika katika eneo hilo na kutoa msaada wa vifaa vya usafi.

Meridianbet wamegawa matoroli, Mafagio, pamoja na Reflectors kwajili ya kuhakikisha wanaimarisha usafi katika eneo hilo la Makongo kata ya Mlalakua, Hili limekua zoezi endelevu kua kwa kampuni hiyo katika kuhakikisha wanaunga mkono serikali katika juhudi za kuweka mazingira safi.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram ndio aliyeongeza zoezi hilo zima la ugawaji wa vifaa hivo”Kwanza kabisa nishukuru kwa mapokezi yenu mazuri mliyotupatia, Lakini jambo muhimu zaidi ni kuja hapa kugawa vifaa hivi vya usafi kwajili ya kuhakikisha usafi unaimarishwa mara dufu na hii tunaungana na serikali yetu pendwa ambayo inapambana kuhakikisha mazingira yapo safi

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye michuano ya Uefa Europa League na Uefa Conference League. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Wakati huohuo wakazi wa eneo hilo wameonekana kufurahishwa na jambo ambalo limefanywa na uongozi wa Meridianbet, Huku moja ya viongozi wa eneo hilo akitoa shukrani zake za dhati kwa mabingwa hao wa kubashiri na kutoa wito wa makampuni mengine kuiga mfano wa Meridianbet.

SOMA NA HII  MUSONDA APELEKA SHANGWE JANGWANI, ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MWAMBA