Home Habari za michezo MASHABIKI SIMBA WAMNYONYA DAMU INONGA…WAMGEUZA TIBA YA KUPONEA MAUMIVU YAO

MASHABIKI SIMBA WAMNYONYA DAMU INONGA…WAMGEUZA TIBA YA KUPONEA MAUMIVU YAO

Habari za Simba leo

Kuna vichaka viwili kichaka cha ubora na kichaka cha ubovu, nafikiria Simba wanapaswa kukubali kujificha kwenye kichaka cha ubovu kwasababu watakuwa wanajiambia ukweli wao wenyewe kuwa kwa sasa sio kwamba timu yao haina wachezaji wazuri lakini lazima wakubali Simba inacheza mithili ya watoto wa kindergarten yaani Simba haina makali kwenye kuzuia hatari za mpinzani na kuwa makatili mbele ya goli.

Kwenye mechi ya jana kundi la mashabiki wavivu wa kufikiri wameacha kujificha kwenye kichaka cha ubovu wa timu kiuchezaji wameamua kutengeneza kichaka kipya cha kumnyonya damu beki kisiki mahiri Enock Inonga eti alijifanya kaumia ili timu ifungwe.

Hawa mashabiki wameamu kuutukuza ujinga hawataki kukubali kwamba kulwa kwa misimu kadha amekuwa bora mbaya zaidi hawana kukumbuku tamu kwamba Inonga aliyekuwepo kwenye goli 5 za derby iliyopita ni yule yule aliyekuwepo jana pale kwa mkapa akishuhudia ubora ukiamua mechi.

Kwasasa mashabiki wa Simba wanapaswa kukubali kwa ubora wa Yanga hata Simba wangekuwa 22 kiwanjani wangefungwa tu jana kwasababu Simba ipoteza nguvu yake kuu ya ushindani
kiwanjani,sasa hivi kila timu inaamini inacheza na Simba yenye haiba ya swala.

Siku zote watu wenye busara ukubali kulamba kinyesi ukubali kwamba matapishi ya zamanini muhimu kwenye kujenga matapishi mapya, Simba inapaswa kujengwa upya kuliko kutaka kumjenga Inonga.

Inoga hawezi kuwa kidonge kwenye ubora wa Yanga. If truth shall kill them let them die.

SOMA NA HII  RASMI...MRITHI WA JOHN RAPHAEL BOCCO KUJULIKANA LEO...MCHAKATO WOTE UKO HIVI...