Home Habari za michezo MANARA ASHINDILIA TETESI ZA DUBE KWENDA YANGA….

MANARA ASHINDILIA TETESI ZA DUBE KWENDA YANGA….

Habari za Michezo

Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amepitisha orodha akiwashawishi baadhi ya wadau wamchangie mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kuvunja mkataba na klabu yake hiyo.

Petition hiyo ya Manara inakuja baada Dube kuandika barua kuomba kuondoka Azam Fc huku Azam wao wakidai kuwa bado ana mkataba na klabu hivyo iwapo anataka kuondoka basi alipe thamani ya mkataba wake kiasi cha dola laki tatu (sawa na zaidi ya Tsh milioni 700).

Mpango wa kumsaidia Dube kuvunja mkataba;

01: Haji Manara 10M
02: Hersi Saidi 10M
03: Peter Kibwengo 8M
04: Mzee Karigo 7M
05: Uncle Big Phil 10M
06: Omary kimosa 12M
07: Abed Mvuma 20M
08: Kipunje 3M
09: Kigosi 7M
10: Arafat Haji 9M
11: Angu Shadrack 6M
12: Hashim kijaluba 20M
13: Mayele Majini 2M

Wananchi Naomba na Sisi tumchangie Dube @mgadafiprince.73 kama alivyochangiwa Fei, Al Qiswaas Hakkun na Kama Tudini Tudani.
Twambie na wewe unachangia kiasi gani.

Nb: Huwezi jua Dube mara paaap kawa wa njano na kijani, Nani aijuae kesho?

SOMA NA HII  KUELEKEA KARIAKOO DABI....MO DEWJI AMFUNIKA VIBAYA MNOO GSM...AWEKA MEZANI MIL 500 CASH...