Home Habari za michezo STRAIKA HUYU WA YANGA ATUA KATIKA KLABU HII YA KENYA KIMYA KIMYA

STRAIKA HUYU WA YANGA ATUA KATIKA KLABU HII YA KENYA KIMYA KIMYA

Habari za Yanga leo

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni. Akizungumza mara baada ya utambulisho wake Fiston amesema amekata ofa kadhaa kutoka vilabu vya Uarabuni kama Saudia, Kuwait na Lebanon ili kutua Sofapaka

SOMA NA HII  ROBERTINHO AFUNGUKA MBINU ALIZOWAPA WACHEZAJI WA SIMBA