Home kimataifa NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO...

NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO WAPI?

NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58...MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO WAPI?

‘Jobe, Fredy ni usajiri mbovu kwa @simbasctanzania , Saido umri umeenda” – Mzee Mwenda

Nyota wa zamani wa Brazil na mshindi wa kombe la Dunia 1994 Romario ametangaza kurejea tena uwanjani kwenye soka la ushindani.

Romaro kwa sasa ana umri wa miaka 58 na amejiunga na timu ya America of Rio de Janeiro

SOMA NA HII  KUHUSU MSEMAJI MPYA YANGA....BABA LEVO NAYE AJITOSA KUOMBA NAFASI...AHAIDI KUWAKERA MSIMBAZI...