Home Azam FC RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO

RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO

Azam FC

Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024.
Kupitia taarifa Rasmi ya Klabu, Azam imeandika;

“Tunathibitisha tutakuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kombe la Muungano, itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23 hadi 27, 2024, visiwani Zanzibar”.

SOMA NA HII  MWAMBA WA LUSAKA AMEPATWA NA NINI SIMBA