Home Habari za michezo SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI…MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI…MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI...MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani ya kukosa kuitazama mechi dhidi ya Yanga SC.

Katika video inayotembea mitandaoni inaonesha shabiki huyo aliyejizolea umaarufu akilalamika kuitwa kituoni hapo na huenda akakosa kulitazama pambano hilo litakalochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  MASTAA HAWA WALIOTEMWA SIMBA...WATWAA UBINGWA WA LIGI KIBABE...KOCHA ALIFARIKI