Home Habari za michezo DICKSON JOB AMVAA MUDATHIR…KUMBE SIMU YAKE IMEIBIWA…ISHU NZIMA IKO HIVI

DICKSON JOB AMVAA MUDATHIR…KUMBE SIMU YAKE IMEIBIWA…ISHU NZIMA IKO HIVI

DICKSON JOB AMVAA MUDATHIR...KUMBE SIMU YAKE IMEIBIWA...ISHU NZIMA IKO HIVI

Mchezaji wa ‘klabu ya Yanga Dickson Job amemtania mchezaji mwenzake Mudathiri Yahya kwa kueleza kuwa simu aliyokuwa akitumia Mudathiri kupiga wakati akiwa amefunga bao imeibiwa.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Job ame-share picha akiwa na Mudathiri ikiambatana na ujumbe usemao “Simu ya Anko Mudathiri imeibiwa msione kimya ikipatikana basi itaendelea kuita

Mudathiri Yahya ni mchezaji ambaye anatumia staili ya kupiga simu baada ya kufunga bao wakati akiwa kwenye ‘mechi’.

SOMA NA HII  AUCHO APEWA AGIZO, YANGA KAMILI KUWAVAA WANAIJERIA