Home news CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…HII HAPA LIST KAMILI YA WACHEZAJI WANAOLIPWA ZAIDI ...

CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…HII HAPA LIST KAMILI YA WACHEZAJI WANAOLIPWA ZAIDI LIGI KUU YA NBC

Habari za Simba leo

CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…Hii ni orodha wacheza wa Ligi Kuu ya NBC wanaovuta mkwanja mrefu zaidi.
10. Feisal Salum 16M -Azam FC
09. Fabrice Ngoma 18M – Simba SC
08. Henock Inonga 18M – Simba SC
07. Saidoo Ntibanzokiza 20M – Simba SC
06. Pacome Zouzoua 20M – Yanga SC
05. Luis Miquisone 23M – Simba SC
04. Aziz Ki 25M – Yanga
03. Clatous Chama 28M – Simba SC
02. Flankilin Navaro 30M – Azam
01. Ali Ahmada 54M – Azam FC
Source: TransPaid.

SOMA NA HII  KISA WAMOROCCO......CAF YAMPIGA STOP CHAMA KUKIPIGA SIMBA......ISHU NZIMA IKO HIVI....