Home Habari za michezo KIBU DENIS APIGWA KO NA SIMBA…MBADALA WAKE WAANZA KUVUNJA REKODI ZAKE HIZI

KIBU DENIS APIGWA KO NA SIMBA…MBADALA WAKE WAANZA KUVUNJA REKODI ZAKE HIZI

Habari za Michezo

Mshambuliaji wa Simba SC Kibu Denis msimu huu amecheza mechi 19 za Ligi Kuu na kufanikiwa kufunga goli moja, wakati huo Saleh Karabaka ambaye ni usajili mpya wa Simba SC kwenye dirisha dogo, yeye amecheza mechi moja [kipindi cha pili pekee] na kufunga goli moja.

Kama tutahukumu kwa takwimu basi Wote wawili wana goli moja Ligi kuu NBCPL. Mbali na takwimu za Ligi Kuu, Kibu Denis ana magoli mengine mawili msimu huu, Moja kwenye CAFCL ndani ya mechi 10 na moja ni kwenye AFL kwenye mechi 2.

Hivyo Kibu amecheza mechi 31 za mashindano yote amefunga magoli 3. Kwa upande wa Karabaka amecheza mechi 3 za mashindano yote na kufunga magoli matatu ukijumlisha na goli lilofunga mapinduzi Cup.

Key point ni namna timu inapata Faida kwa kufanya rotation kwenye kikosi chake na kutoa nafasi zaidi kwa kila mchezaji.

SOMA NA HII  KWA KILA TSH 500 UNAWEZA 'KUPUNA' MPAKA MIL 2.5 KUTOKA MERIDIANBET CASINO...