Home Habari za michezo MCHAMBUZI:- AWACHANA HAYA SIMBA…”IMEBEAKI MANENO MANENO TU MENGI”

MCHAMBUZI:- AWACHANA HAYA SIMBA…”IMEBEAKI MANENO MANENO TU MENGI”

ZIMBWE JR AKUBALI KUPITIA NYAKATI NGUMU...KUMBE SIMBA WALICHUKUA MATAJI 5

Anaandika mchambuzi, Farhan Kihamu;

Kutoka kupigania ubingwa mpaka kupigania nafasi ya pili na Azam FC, mpaka ilivyo sasa hata tukishinda mechi zetu zote za viporo bado Azam anakuwa juu yetu yaani hata tukimfunga, maana yake ni kuwa tuna uwezekano mkubwa zaidi wa kumaliza nafasi ya tatu msimu huu na utishia nafasi ya kushiriki Michuano ya klabu bingwa Afrika.

Sijaumizwa na matokeo, siumizwi na kupotea njia, kinachoniuma zaidi ni kuwa: – Nani wa kutuonesha njia mpya? Majibu ni Viongozi, wapo? Jibu ni SIJUI. – Tunaweza kurejea kwenye ubora? Jibu ni NDIO, lakini tunarudije? Kwa njia ipi? Hatujui.

– Ukitazama kikosi chetu, Wachezaji muhimu unawaona watabaki kwenye peak kwa muda mrefu? Jibu ni HAPANA, Je una wachezaji wa maana wadogo wanaokuja? Jibu ni Hakuna.

Dark period in Simba Sports club history, inaumiza tu saana hii timu! Tulipofika hapa team ishastuck, graph inashuka na mbele ni kiza tu, tumebaki na maneno maneno tu meeengi.

SOMA NA HII  TIMU HII BONGO YAREJEA LIGI KUU BAADA YA MIAKA 22...WARUDI KWA KISHINDO...ISHU NZIMA IKO HIVI A-Z