Home Meridianbet JUMAPILI YA LEO NI YA PESA NA MERIDIANBET….ODDS ZA USHINDI NI HIZI...

JUMAPILI YA LEO NI YA PESA NA MERIDIANBET….ODDS ZA USHINDI NI HIZI HAPA…

Meridianbet

Kama unajiuliza ni wapi utapiga pesa, basi mimi nakwambia chimbo ni moja tuu mjini hapa napo ni Meridianbet wababe wa ubashiri Tanzania ambao unaweza kubeti nao na kukusanya mpunga bila shaka kabisa. Unasubiri nini? Bashiri kijanja hapa.

Slovenia dhidi ya Denmark ambao wanapigwa upatu sana kuondoka na pointi tatu muhimu leo. Kama kawaida Meridianbet huchagua vilivyo bora kwa kukuwekea ODDS KUBWA mechi hii yaani ni 5.09 kwa 1.76.

Denmark ambayo ina wachezaji wakubwa kama Hojlund, Eriksen kutoka Man United, Christensen na wengine wanataka kuonesha ubora wao mbele ya Benjamin Sesko, Jan Oblak leo. Je Slovenia watakubali kuchapika leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana 2023 kupoteza?. Jisajili hapa.

Jumapili ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.57 kwa 5.48. Timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana, ilikuwa 2022 kwenye Kombe la Dunia na Poland alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?

Uholanzi ana wachezaji wakubwa wenye majina makubw ambao wanacheza ligi kuu mbalimbali kama vile, Van Dijk, Memphis Depay, Nathan Ake, Gakpo na wengine kibao huku kw aupande wa Poland staa wao ni Roberto Lewandowski, huku wengine wakiwa ni Golikipa wao Szczeny, Nivola Zalewski na wengine. Nani kuibuka mshindi?. Beti hapa.

Mbungi la maana litakuwa saa nne usiku ambapo Serbia watakiwasha dhidi ya Uingereza, wanafainali hawa wa 2022. Uingereza wamepewa ODDS 1.47 kwa 7.84 kushinda mechi hii. Vijana hawa wa South Gate wanapewa nafasi ya kucheza fainali

kabisa ya EURO kutokana na wachezaji bora ambao wanao, akiwemo Harry Kane, Palmer, Foden, Mainoo, Rice na wengine huku kwa upande wa Serbia wao wana matumaini na Mitrovic ambaye anakipiga Al Hilal kule Saudia, Milinkovic Savic, Tadic. Je Uingereza kwenye EURO hii atafika wapi? Suka jamvi hapa.

SOMA NA HII  HILI HAPA KUBWA KUTOKA MERIDIANBET....SASA KUTOA BONAS MWAKA MZIMA KWA KILA MTU...