Home Meridianbet ANZA WIKENDI YAKO KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET…

ANZA WIKENDI YAKO KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET…

Meridiabet

Wakali wa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet wanasema kuwa hatakama ligi zimesimama, bado una nafasi ya kupiga maokoto kwa kubeti mechi za kirafiki ambazo zinaendelea sasa. Ingia www.meridianbet.co.tz.

Tuanze kumulika mchezo wa Southampton ambao wamepanda daraja kucheza EPL msimu huu watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Eastleigh ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 9.40 kwa 1.18. Timu hiyo inacheza Uingereza National League. Bashiri sasa.

Olympique Lyon atakuwa ugenini dhidi ya WSG Tirol. Mwenyeji anakipiga Austria Bundesliga ambapo msimu uliomaliza alimaliza nafasi ya pili kutoka mwisho, huku kwa upande wa Lyon yeye alimaliza nafasi ya sita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Wakati Ajax atakipiga dhidi ya Olympiacos ambayo imepewa ODDS 1.84 kwa 3.77, huku ukikumbuka kuwa mgeni ni bingwa wa Konferensi ligi. Ajax kutoka Uholanzi ilimaliza ligi ikiwa inashika nafasi ya 5 huku bingwa wa Konferensi ligi akishika nafasi ya 3 kwenye ligi. Je nani leo hii ataibuka na ushindi? Bashiri sasa.

Kusanya maokoto ya kutosha mechi ya Sligo Rovers FC ya Ireland itakuwa na kazi ya kushinda mbele ya Everton FC ambayo inashiriki ligi kuu ya Uingereza. Meridianbet wanampendelea The Toffees kuchukua pointi tatu leo wakiwa na ODDS 1.18 kwa 8.23. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Jisajili sasa.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Pia US Salernitana baada ya kushuka daraja na sasa msimu huu watakuwa wakicheza Serrie B watakuwa nyumbani leo kujifua dhidi ya Volos NPS kutoka kule ligi kuu ya Ugiriki. Mechi hii imepewa ODDS 1.62 kwa mwenyeji na 4.11 kwa mgeni. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Tengeneza jamvi hapa.

FC Cologne ya Ujerumani itaumana dhidi ya ST Truidense VV ya Ubelgiji ambayo imeshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye ameshuka daraja atacheza Bundsliga 2 msimu mpya. Nafasi ya ushindi leo amepewa 1.81 kwa 3.04. Suka mkeka hapa.

Huku pia Getafe nayo itapepetana dhidi ya Coventry City ambao wanashiriki ligi daraja la kwanza Uingereza. Mwenyeji anakipiga ligi kuu ya Hispania Laliga  ambapo msimu uliopita alimaliza nafasi ya 12 na pointi zake 43. Mwenyeji anapendelewa kuondoka na ushindi leo hii akipewa ODDS 1.88 kwa 3.19. Jisajili sasa.

Nao pia FC Porto watakuwa ugenini leo kukiwasha dhidi ya Austria Wien ambaye anacheza ligi kuu ya Austria akiwa na kiwango kizuri pia. Mgeni alimaliza ligi akiwa nafasi ya 3 na pointi zake 72. Je leo hii kwa ODDS 4.41 na 1.50 nani ataibuka na ubabe?. Tengeneza jamvi lako hapa na Meridianbet.

Nottingham Forest nao wamemua kujiweka sawa dhidi ya Sunderland ya Ligi daraja la kwanza. Forest wamemaliza nafasi ya 17 kwenye ligi wakiwa na pointi 32 huku mgeni akimaliza nafasi ya 16 na pointi zake 56. Bashiri yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?. Suka mkeka wako sasa.

SOMA NA HII  HIII NI KUBWA KULIKO....BILIONI 2 ZA MERIDIANBET ZINAKUNGOJA .....KUSHINDA NI 'SIMPO' MNOO..