Home Meridianbet MATUMAINI YA WATANZANIA OLYMPIC YAPO KWENYE MARATHON…

MATUMAINI YA WATANZANIA OLYMPIC YAPO KWENYE MARATHON…

Meridianbet

Mbio ndefu (Marathon) ndio mtetezi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 inayoendelea kutimua vumbi nchini Ufaransa kwasasa, Ambapo washiriki wa michuano hiyo kutoka nchini Tanzania wanaonekana kubeba matumnaini.

Tanzania ilikua ikishiriki michezo kadhaa kwenye Olympic mwaka huu lakini mpaka sasa washiriki wawili wameshatupwa nje kwenye mchezo wa kuogelea mita 100, Bila kusahau mchezo wa Judo huku matumaini yakibaki kwenye riadha za mbio ndefu.

Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 mbali na Alphonce Simbu ni pamoja na Jackline Juma Shakilu, Magdalena Shauri, na Gabriel Geay.

Alphonce Simbu amekua na rekodi nzuri kwenye michuano mbalimbali ambayo amekua akishiriki, Hivo kufanya matumaini ya Watanzania kuamini yeye pamoja na wenzake watatu ndio wanaweza kuiweka nchi kwenye ramani kwa kushinda medali.

Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransa ambapo maono na matumaini ya Taifa la Tanzania yamebebwa na wakimbiaji wa riada za mbio ndefu anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza pia michezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Michuano ya Olympic mwaka huu inaonekana kua yenye mvuto zaidi ukilinganisha na miaka mingine ya hivi karibuni jambo ambalo limewavuta watu wengi kutazama michuano, Huku Meridianbet wakiendelea kumwaga ODDS NONO kwenye michezo inayopigwa kwenye Olympic 2024.

SOMA NA HII  KUWA STAA NA MERIDIANBET KASINO YA SUPER 20 STAR USHINDI MTELEZO....