Home Habari za Yanga Leo FAINALI YA TATU YANGA VS AZAM FC…REKODI ZIKO HIVI

FAINALI YA TATU YANGA VS AZAM FC…REKODI ZIKO HIVI

Habari za Yanga

MABINGWA WA LIGI KUU YANGA watacheza na  Waoka mikate wa Chamazi Azam FC, ambapo hii inatoa taswira za timu hizo kukutana kwenye fainali nyingi zaidi kwa msimu uliopita na huu mpya wa 2024/25.

Yanga ilifanikiwa kutinga fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga Simba bao 1-0 ambapo bao hilo lilifungwa na Maxi Mpia Nzengeli akipokea pasi kutoka Prince Dube, muuaji anayetabasamu.

Yanga SC na Azam FC watacheza fainali ya (3) ndani ya misimu (3).

◉ Yanga 1 – 0 azam – (FA)

◉ Yanga (7) 0 – 0 (6) Azam – (FA)

◉ Yanga ? – ? Azam – (Ngao).

Yanga, Azam na Coastal Union wametengebeza trend ifuatayo …

21|22 Azam alipoteza dhidi ya Coastal Union kwenye nusu fainali (FA), Fainali wakacheza Yanga na Coastal ›› Bingwa akawa Yanga.

22|23 Azam alicheza nusu fainali (FA) dhidi ya Coastal Union akashinda, Fainali Azam akacheza na Yanga. Yanga akatwaa Ubingwa.

22|23 Azam alicheza nusu fainali (FA) dhidi ya Coastal Union, Azam akashinda, Fainali Azam akacheza na Yanga Zanzibar. Yanga akatwaa Ubingwa.

23|24 Azam FC amecheza nusu fainali (Ngao) dhidi ya Coastal Union, Azam ameshinda (5_2), Fainali Azam atacheza na Yanga.

SOMA NA HII  IMEFICHUKAA.....UKIACHA KUCHOMEKEA KUMBE 'UCHAWI' WA MAXI NZENGELI NI HUU....