Home Meridianbet AVIATOR INALIPA BALAA…CHEZA NA USHINDE….

AVIATOR INALIPA BALAA…CHEZA NA USHINDE….

Meridianbet

Kuwa rubani wa maisha yako kwa kurusha ndege ya Aviator, iliyopo Meridianbet, huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unapendwa na watu wengi.

Unachotakiwa kukifanya ni kuanza safari yako kwa kurusha ndege umbali mrefu Zaidi, huku ukiwa makini kabla haijaanguka chini unatakiwa uwe umekatisha safari yako na kuvuna pointi zako. Jisajili na Meridianbet ufurahie mchezo huu.

Hatua za Kucheza Aviator.

Aviator ni mchezo ambao hauwezi kufananishwa na michezo mingine kirahisi. Inamuonekano wa kasino mtandaoni na sloti, lakini bado ni tofauti.

Watengenezaji wa mchezo huu wanauita mchezo wa kijamii lakini kwenye kasino mtandaoni ya Meridianbet unaitwa Aviator au kimtaani mtaani ni mchezo wa Kindege.

Japokuwa, tatizo ni kwamba huwezi kujua muda itakayoanguka. Unatakiwa kuwa mwepesi kwenye akili na mikono yako na ubofye kitufe kwa muda sahihi ili upate zaidi.

Fanya hivi:

  • Unafungua mchezo na kuweka ubashiri;
  • Subiri kwa sekunde kadhaa mchezo kuanza;
  • Jiweke tayari kuanza safari ya utajiri!
  • Ndege itaanza kupaa itakapofikia kikomo, itakwenda juu tena kabla ya kupotea;
  • Lengo lako ni kupata malipo kwa muda sahihi, japokuwa hiyo ni rahisi kuisema kuliko kutenda; kuwa makini kukusanya ushindi wako kabla ndege haijaanguka.

Unatakiwa kuwa mwepesi sana. Lakini pia sio muda wote ndege itapotea kwenye malipo ya juu, inaweza kutokea muda wowote. Hii inamaanisha, unaweza kutegemea matokeo yeyote na pia teknolojia ya mchezo huu imetengenezwa katika kutoa matokeo yenye usawa na unaweza kutambua taarifa za michezo iliyopita.

Aviator inarudisha faida ya 97% kwa mchezaji. Usiitumie vibaya nafasi hii. Kama ilivyo kwenye michezo ya sloti, kila mzunguko una stori yake. Unaweza kuifikia ndege ikiwa juu au ukaikosa mwanzoni kabisa.

Tumia vizuri vidole vyako huku ukiwa na machale ya kuhisi ukomo wa ndege na hakikisha unauelewa mchezo kabla ya kuanza kufurahia kwa kulipia. Habari njema ni kuwa, mchezo huu unapatikana kwa majaribu kupitia Kasino ya Meridianbet pekee.

Unapatikana Meridianbet Kasino Mtandaoni Pekee.

Kwa sasa, sehemu pekee unayoweza kucheza Aviator ni Meridianbet kwenye Kasino ya Mtandaoni. Inapatikana katika mfumo wa majaribio au kwa kulipia. Mfumo wa majaribio ni njia nzuri ya kujaribu mchezo na kuona namna unavyofanya kazi kabla hujaweka pesa.

SOMA NA HII  JUMAPILI YAKO ITAKUWA MURUA SANA NA MERIDIANBET....

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz