Home Habari za Yanga Leo PRINCE DUBE ANA MOTO…TAKWIMU ZAKE TANGU ATUE YANGA ZINATISHA

PRINCE DUBE ANA MOTO…TAKWIMU ZAKE TANGU ATUE YANGA ZINATISHA

Habari za Yanga-Prince Dube.

Misimu 4, Prince Dube hakushinda taji lolote akiwa na Azam FC, lakini ndani ya mwezi 1 akiwa Yanga tayari ana mataji (2)

Takwimu za Prince Dube tangu ajiunge na klabu ya Yanga overall :

◉ 5 – Games.
◉ 3 – Goals scored.
◉ 2 – Assist.
◉ 5 – Goals involved.

Yanga vs Augsburg ›› Sub. (No goal)
Yanga⚽ vs TS Galaxy ›› Sub
(Alifunga)
Yanga⚽🎯 vs Kaizer Chiefs ›› 1st eleven. (Alifunga)
Yanga vs Red Arrows ›› Sub. (Hakufunga goli)
Yanga vs Simba SC ›› 1st eleven. (Alitoa pasi ya goli)
Yanga vs Azam FC ›› 1st eleven (Alifunga bao moja)

Dube akiwa Airport July 18 kuelekea Afrika kusini kwenye michezo ya kirafiki, mchezaji huyo alisema kwamba:

“Nafurahi kucheza na Chama na Aziz Ki ni wachezaji wakubwa. Kila mchezaji anatamani kucheza timu kama Yanga ili ASHINDE MAKOMBE na ilikuwa ndoto yangu kucheza timu kubwa kama Yanga”

“Sasa niko hapa kufanya kazi, nilishapitia kipindi kigumu sana na sasa na-enjoy.”

“Mambo yanaenda vizuri, nimekaribishwa vizuri kuanzia kwa mashabiki, viongozi na benchi la ufundi, najisikia furaha na nipo tayari kuwafurahisha”

SOMA NA HII  HANS RAFAEL...SIMBA IMEPATA MTU SANA...KUHUSU DEBORA FERNANDES MAVAMBO