HABARI ZA YANGA-MAYELE
Habari za Yanga Leo

MAYELE ATAMANI KURUDI TANZANIA…MISRI PAGUMU

Abubakar September 10, 2024 12:47 pm

ALIYEWAHI kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele anayekipiga katika klabu ya FC Pyramids ya Misri, amefunguka na kuelezea ugumu anaokutana nao huko Misri.

Mayele ameenda mbali zaidi na kusema kwamba anapenda kucheza Tanzania, kwani hapa ni kama nyumbani kwake.

Aliyasema hayo jana kweneye mchezo wa kimataifa kati ya Ethiopia na DR Congo, ambao ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2, huku yeye akifunga bao moja.

“Siku zote kwangu ni furaha kucheza na ndugu zangu Tanzania ni nyumbani kwangu pia katika michezo yote miwili atakayejipanga vizuri ataibuka mshindi na kuhusu ligi ipi kati ya Tanzania na Misri.

Ligi ya Misri ni ngumu kuliko ya hapa Tanzania ninafuraha kuingia kwenye Historia ya Timu haijawahi kubeba kombe ila mimi nimeisaidia kuchukua kombe.

MOROCCO AWEKA WAZI MBINU 3 ZA KUIMALIZA GUINEA YAO JESHII ARUDI MAZOEZINI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MAYELE ATAMANI KURUDI TANZANIA…MISRI PAGUMU”

  1. […] wa Klabu ya Pyramids FCya nchini Misri na timu ya Taifa ya Congo DR, Fiston Kalala Mayele siku ya leo ametembelea uwanja wa Real Madrid Santiago BernabĂ©u nchini […]