habari za simba- Fei Toto
Habari za Simba Leo

KUMNUNUA FEI TOTO NI BIL 1.3…SIMBA, YANGA ZAPIGANA VIKUMBO

Abubakar September 18, 2024 3:54 pm

SIKU za hivi karibuni kumeibuka taarifa za mchezaji wa Azam FC Feisal Salum Fei Toto, kuhitajika na vilabu vikubwa ndani na nje ya nchi ikiwemo Mamelod Sundowns.

Kwa vila vya ndani ni Simba na Yanga wote wanaivizia tena saini ya Fei Toto, kwa upande wa Yanga ni wanafikiria namna ya kumrudisha tena mchezaji huyo.

MKATABA WA FEI TOTO UKO HIVI.

Mkataba wa Fei Toto na Azam una kipengele cha kuvunjwa kwa $500,000 (Tsh 1,362,220,000 ) ndani ya miaka miwili ya kwanza.

Lakini ifikapo mwishoni mwa msimu huu thamani ya mkataba huo itapungua hadi $250,000 (tsh 681,110,000).

Hivyo timing ya vilabu vingi iko pale mwishoni mwa msimu ambapo tsh 600m itatosha kuvunja mkataba wa Fei.

Lakini pia Azam wanapambana kumuongezea mkataba mpya ili waendelee kuwa na power juu yake.

BUKUA MAMILIONI KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEGUE LEO…. BREAKING NEWS…FEI TOTO AIKATAA AZAM…AZIINGIZA VITANI SIMBA NA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

One response to “KUMNUNUA FEI TOTO NI BIL 1.3…SIMBA, YANGA ZAPIGANA VIKUMBO”

  1. […] wa kimataifa wa Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) amepiga chini ofa ya pili kutoka Azam ambayo ilimtaka kuongeza mkataba […]