Home Habari za Yanga Leo YANGA YAPANGWA NA MAZEMBE…BENCHIKA NDANI

YANGA YAPANGWA NA MAZEMBE…BENCHIKA NDANI

Yanga SC

ILISUBIRIWA SANA, hatimaye leo imewadia baada ya droo ya CAF ligi ya mabingwa Afrika kuchezeshwa rasmi.

Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika, walijikuta wakiangukia kwa miamba TP Mazembe huku pia aliyewahi kuwa kocha wa Simba Abdilhack Benchika akiwasubiria Algeria.

Kundi A linawakilishwa na Timu zifuatazo; TP Mazembe, Yanga, Al Hilal ya Sudani, na MC Alger inayonolewa na Benchika.

Je nafasi ya Yanga kufuzu hatua ya robo fainali unaiona kwa kiasi gani?

 

SOMA NA HII  ENG HERSI AMPA NENO HILI GSM BAADA YA YANGA KUCHUKUA POINT TATU KIBABE