Home Meridianbet LEO HII PESA IPO KWENYE MECHI ZA UEFA…

LEO HII PESA IPO KWENYE MECHI ZA UEFA…

Meridianet

Real Madrid, PSG, Arsenal, Girona wote wapo dimbani leo kuhakikisha unaondoka na mzigo wa kutosha kabisa. Huenda leo ni bahati yako beti na Meridianbet sasa uibuke mshindi.

Tajirika na mechi kali ya leo kati ya Wanafainali wa UEFA  Real Madrid vs Borussia Dortmund huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda Ancelotti na vijana wake kwa ODDS 1.51 kwa 5.29. Je Borussia atalipa kisasi cha kupoteza fainali?. Bashiri sasa.

Huku PSG yeye atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya PSV Eindhoven ya kule Uholanzi ambayo ina pointi moja pekee. Paris ya Enrique ina pointi 3 huku leo hii ushindi ukiwa ni muhimu kwake. Meridianbet wanampa PSG nafasi ya kuondoka mbabe leo akiwa na ODDS 1.29 kwa 8.40. Wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Chukua pesa yako na mechi za UEFA leo ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

AC Milan uso kwa uso dhidi ya Club Brugge mechi ambayo itapigwa San Siro. Ikumbukwe Milan mpaka sasa kwenye mechi mbili alizocheza kapoteza zote hivyo mchezo wa leo ni muhimu sana kwake. Meridianbet wamempa Inzaghi na vijana wake nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.37 kwa 8.03. Jisajili hapa.

Sporting Lisbon ya kule Ureno itakuwa ugenini dhidi ya Sturm Graz ambaye amepoteza mechi zake zote mbili mpaka sasa. Lisbon anapendelewa kushinda mechi ya leo akiwa na ODDS 1.37 kwa 7.64. Je beti yako kwenye mechi hii unampa nani?. Baashiri sasa.

Muda huo huo AS Monaco ya Ufaransa watakipiga dhidi ya FK Crvena Zvezda Belgrade ya ya kule Serbia. Mwenyeji ana pointi kwenye mechi mbili alizocheza huku mgeni yeye akiwa hana pointi baada ya kupigika mechi zote mbili. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.34 kwa 8.82.

Vilevile Aston Villa atachuana vikali dhidi ya  Bologna katika dimba la Dimba la Villa Park kwani mgeni anahitaji ushindi kwa hali na mali baada ya kukosa pointi 3 mechi mbili alizocheza. Wakati vijana wa Unai wao wanataka ushindi wazidi kujiimarisha kwenye nafasi nzuri. 1.65 kwa 5.09 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Baada ya kupigika kwenye ligi sasa Arsenal leo atakuwa Emirates kumenyana dhidi ya Shakhtar Donetsk ya kule Ukrain. Tofauti ya pointi kati yao 3 tuu ambapo The Gunners wameshinda mechi moja na kutoa sare moja huku mgeni wake akitoa sare moja na kupoteza mechi moja. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.

Naye Bibi Kizee cha Turin, Juventus atapepetana dhidi ya VFB Stuttgart ambaye amepasuka vibaya kwenye ligi akiwa ugenini. Juve ameshinda mechi zake mbili zote wakati VFB yeye akitoa sare mechi moja na kupoteza mechi moja. Mechi hii ina ODDS 1.96 kwa 3.72. Suka jamvi lako hapa.

SOMA NA HII  NUFAIKA NA MAOKOTO YA MERIDIANBET MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO....