Je unajua kuwa ukibashiri leo mechi ya PSG vs Settlers Sounders kwa chaguo la GG&3+ inakulipa mara mbili zaidi?. Ni rahisi tuuh suka jamvi lako la ushindi na Meridianbet na kwenye hizo mechi zako ongezea na hii mechi ya PSG na ubashiri kwa chaguo hilo ambalo lipo kwenye promosheni na ushinde zaidi.
Hii ni promosheni kabambe kabisa ambayo imekuja kwaajili yako mteja wa Meridianbet yaani ushindi ni nje nje hapa. Ili kushinda mara mbili zaidi bashiri mechi ya mwisho ya makundi ya Kombe la Dunia la Vilabu kati ya Settlers Sounders vs PSG. Nani kuibuka mshindi leo?. Odds kali na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.
Settlers Sounders mpaka sasa ndio vibonde wa kundi wakiwa wamepoteza mechi zote mbili ambazo wamecheza. Mabingwa wa Ulaya PSG leo hii hawataki chochote zaidi ya ushindi mkubwa wajihakikishie nafasi ya kusonga mbele. GG&3+ ndio tiketi yako ya kukupatia mzigo mkubwa, bashiri sasa na Meridianbet mechi hiyo.
Ndani ya Meridianbet kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
- Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
- Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 23 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
- Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Settles Sounders vs PSG kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya Settlers Sounders vs PSG (kiasi cha chini 10000 TZS), atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Sharti la bonasi hiyo ni kuwa lazima mechi ya Settlers Sounders vs PSG imalizike kwa timu zote mbili kufunga na jumla ya magoli kuwa angalau 4.
BONASI YA 2
- Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000)
- Sharti la bonsai hii; Mchezo wa Settlers Sounders vs PSG lazima umalizike kwa suluhu yaani 0-0
- Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.