Home Meridianbet ZIMEBAKI SIKU MBILI TU KUSHINDA SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KUTOKA MERIDIANBET…

ZIMEBAKI SIKU MBILI TU KUSHINDA SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Mwezi wa Julai umejaa fursa za kipekee, lakini sasa muda unakimbia na kama bado hujachangamkia promosheni kubwa kutoka Meridianbet, basi sasa ni wakati wako wa mwisho kuchukua hatua.

Zimebaki siku mbili tu kabla pazia kufungwa kwa promosheni inayokupa nafasi ya kushinda moja ya simu tano mpya aina ya Samsung Galaxy A25. Hii siyo hadithi, ni nafasi halisi ya wewe kutoka na zawadi ya ndoto zako.

Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, 2025, Meridianbet imekuwa inawazawadia wateja wake kwa njia ya kipekee zaidi. Wote waliosajiliwa kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet wanapata fursa ya kuingia kwenye droo ya ushindi kwa kufanya jambo rahisi tu, kuweka dau na kucheza. Ndiyo, kila beti uliyoicheza kwenye michezo au kasino inakupa tiketi ya kuingia kwenye droo hii ya kuvutia.

Na sasa, tukiwa tumefika tarehe 29 Julai, ni dhahiri kuwa muda unayoyoma. Kama hujacheza bado, una siku mbili pekee, ndiyo, siku mbili kuhakikisha jina lako linaingia kwenye droo itakayofanyika tarehe 1 Agosti 2025. Katika droo hiyo, washindi watano wa simu za Samsung Galaxy A25 watatangazwa rasmi, na zawadi hizo kwenda moja kwa moja kwa wateja waliopiga hatua ya kuitumia Meridianbet mwezi huu.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Cha kufurahisha zaidi, hakuna mchakato mgumu wala masharti ya kuchosha, wewe cheza tu. Kadri unavyoweka beti nyingi, ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi yako ya ushindi. Hata kama unacheza kwa dau dogo, kila beti ni nafasi mpya. Lakini kumbuka, beti zilizowekwa kupitia Turbocash au system tickets hazitoi sifa ya kushiriki kwenye promosheni hii.

Fikiria hali hiyo ya msisimko pale simu yako inapoita, na unajulishwa kuwa umeshinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa. Sio tu simu ya kifahari, bali pia ni alama ya ushindi wako wa juhudi na bahati kupitia Meridianbet. Kwa nini ukose nafasi hii, ilhali unacheza kila siku.

Kwa wale ambao tayari ni watumiaji wa Meridianbet, hakikisheni kuwa taarifa zenu kwenye akaunti ni sahihi kuanzia jina, namba ya simu na barua pepe, kwani hayo ndiyo yatatumiwa kukutaarifu endapo utakuwa miongoni mwa washindi.

Zimebaki siku mbili tu, fanya maamuzi ya kuitumia Meridianbet sasa ili uweze kuibuka miongoni mwa wale watakaopata zawadi hii ifikapo tarehe 01.

SOMA NA HII  BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO....ODDS ZA USHINDI ZIKO HAPA...