Home Meridianbet SOKA LA ULAYA LINARINDIMA NA UTAJIRI KUTOKA MERIDIANBET…..

SOKA LA ULAYA LINARINDIMA NA UTAJIRI KUTOKA MERIDIANBET…..

Meridianbet

Jumapili hii ni ya moto barani Ulaya, na Meridianbet inawasha burudani ya soka kwa mashabiki wa kubashiri. Viwanja vinageuka kuwa majukwaa ya ushindi, huku kila dakika ikihesabika kwa wale wanaojua kuchagua kwa usahihi. Odds tamu, promosheni kabambe, na machaguo ya kipekee vinakusubiri, ni wakati wa kuandika historia yako ya ushindi.

Italia inaanza mapema na moto wa Serie A. Udinese wanakutana na Cagliari saa 13:30, wakifuatiwa na Bologna dhidi ya Pisa na Fiorentina dhidi ya AS Roma saa 16:00. Saa 19:00, Napoli wanachuana na Genoa kabla ya Juventus na AC Milan kufunga pazia kwa mtanange wa kukata na shoka. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri kila sekunde.

England nayo haitulii. Aston Villa wanakutana na Burnley, Everton dhidi ya Crystal Palace, Newcastle wakipambana na Nottingham Forest, na Wolves dhidi ya Brighton na mechi hizi zote zitapigwa saa 17:00. Brentford nao wanakutana na Manchester City katika mtanange wa kusisimua. Odds za ushindi zipo kwa mashabiki wa EPL, bashiri ushinde kwa uhakika.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

La Liga inakuja na mapambano ya vigogo. Deportivo Alaves na Elche wanafungua dimba, wakifuatiwa na Sevilla dhidi ya Barcelona. Saa 19:30, Espanyol wanakutana na Real Betis huku Real Sociedad wakimenyana na Rayo Vallecano. Usiku, Celta Vigo wanakipiga na Atletico Madrid. Meridianbet inakupa uwezo wa kufuatilia kila tukio kwa odds kabambe.

Bundesliga nayo inatoa ladha ya Kijerumani. VfB Stuttgart wanawakaribisha FC Heidenheim, Hamburger SV wanachuana na Mainz 05, na Borussia M’gladbach wapo nyumbani dhidi ya Freiburg. Odds za Meridianbet zinakupa faida ya kipekee kwa kila bashiri.

Ligue 1 inafunga siku kwa burudani ya kifalme. Lyon wanakutana na Toulouse, AS Monaco dhidi ya Nice, Le Havre wakicheza na Rennes, na Strasbourg dhidi ya Angers. Mechi ya kufunga siku ni Lille dhidi ya Paris Saint-Germain, burudani ya usiku kwa mashabiki wa soka na kubashiri. Bashiri sasa na ufurahie odds za kifalme.

Hii si Jumapili ya kukaa kimya. Ni Jumapili ya kuchukua nafasi, kuweka bashiri zako, na kufurahia ushindi. Tembelea Meridianbet, chagua mechi zako, weka bashiri zako, na uandike historia yako ya ushindi.

SOMA NA HII  ZIMEBAKI SIKU TANO UJISHINDIE MILIONI MOJA KUPITIA SHINDANO LA EXPANSE...