Habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, sasa kuna nafasi ya kujishinda bonasi ya beti za bure mpaka 500 kila siku kwa kufanya kitu kidogo tu, kutengeneza mchanganyiko wa machaguo mbalimbali kwenye mchezo pendwa wa Win&Go. Ni kupitia promosheni ya Non-Stop Win&Go Drop, promosheni kabambe kwa ajili yako.
Win&Go ni mchezo wa bahati nasibu wa kuvutia unaotolewa na Expanse Studios. Ni mchezo unaokuruhusu kuchagua jumla ya namba 6 hadi 10 kati ya jumla ya namba 48, na kisha kungojea matokeo yanayotolewa kila baada ya dakika tano. Ushindi kwenye mchezo huu ni pale namba ulizozichagua zikitokea baada ya mzunguko husika.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Lakini kitu cha kufurahisha zaidi, ni uwepo wa nafasi maalum za zawadi kwenye droo ambazo ikiwa moja kati ya zile namba zako ulizozichagua iko humo, utapata pesa yako uliyoicheza hata kama hukushinda. Na kama ikitokea namba zako mbili ziko kwenye hizo nafasi maalum, ushindi wako unakuwa mara nne. Pia, kuna golden round, zinazokupa fursa ya kushinda mara dufu.
Sasa baada ya ofa hizi zinazopatikana kiuwepesi kabisa kwa kucheza Win&Go, halafu Meridianbet wanakupa na hii ofa mpya ya tiketi za bure. Upewe nini tena mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni? Meridianbet wanazidi kuonyesha ni kwa namna gani wanawathamini na kuwapenda wateja wake. Jisajili sasa na Meridianbet ili kuwahi fursa hii ya kupata tiketi za bure kushiriki mchezo huu wa Win&Go.