Kama wewe ni mpenzi wa michezo ya kubashiri, basi huu ni wakati wako wa kufurahia zaidi. Expanse Studios wamefungua ukurasa mpya kwa kuingia rasmi kwenye jukwaa la Stake, wakileta pamoja ubunifu wa hali ya juu kwenye jukwaa hili la kimataifa. Ushirikiano huu unalenga kubadilisha namna unavyocheza na nafasi kubwa zaidi za ushindi.
Kwa muda, Expanse Studios wamekuwa wakitengeneza michezo inayovutia hisia za wachezaji kwa ubora na uhalisia wake. Michezo kama Gates of Olympia, Super Heli, PIA Premium, Keno, Zombie Apocalypse na Wild white whale imekuwa chaguo la wengi kutokana na burudani na ushindani unaowapa wachezaji sababu ya kurudi tena na tena. Kupitia Stake, sasa kila mchezaji ana nafasi ya kuonja ubora huu bila mipaka, popote alipo.
Msingi wa mafanikio haya unatokana na usimamizi wa Meridian Holdings Inc., kampuni inayotambulika kwa usimamizi wa Meridianbet Group na chapa nyingine kubwa duniani. Hii inaipa Expanse nguvu ya kipekee katika ubunifu na usambazaji wa michezo, na kuhakikisha kila bidhaa wanayoleta sokoni inakidhi viwango vya kimataifa.
Akizungumzia hatua hii muhimu, Damjan Stamenkovic kutoka Expanse Studios alieleza kuwa ushirikiano huu ni daraja la kufikia soko pana zaidi na kuwapa wachezaji uzoefu bora zaidi kupitia teknolojia za kisasa. Kwa kifupi, ni hatua inayoweka msingi wa mafanikio makubwa zaidi kwa wachezaji na wadau wa sekta hii.
Ikiwa na zaidi ya michezo 70 na maelfu ya washirika duniani, Expanse Studios wanaendelea kuthibitisha kuwa wao ni wabunifu wa kweli katika ulimwengu wa ubashiri. Ushirikiano wao na Stake ni tiketi yako ya kuingia kwenye dunia ya burudani isiyo na mipaka hivyo usisite, ingia ucheze, burudika na ushinde zaidi.