Habari za michezo

INTER BAADA YA KUTWAA UBINGWA, KUMINYANA NA LAZIO

Vardo May 9, 2026 10:09 pm

Leo Mei 9 saa 7:00 usiku (saa 18:00 kwa saa za Italia), Uwanja wa Stadio Olimpico utakuwa mwenyeji wa mchezo wa Serie A kati ya Lazio nafasi 8 na Inter Milan nafasi ya 1.

Inter wakiwa na pointi 79 wameshatwaa tayari taji la ubingwa, huku Lazio wakiwa na pointi 48 wakiwa mbali na nafasi za kufuzu mashindano ya Ulaya . Mchezo huu ni wa kipekee kwa sababu ndani ya siku nne timu hizi zitakutana tena kwenye uwanja huo huo kwenye fainali ya Coppa Italia .

Inter wana safu nzuri ya ushindi, wakiwa na ushindi wanne katika michezo mitano ya mwisho ikiwemo kuwafunga Roma 5-2 na Como 4-3 . Kocha Cristian Chivu anatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi ili kuwaweka wachezaji wake vijana kwa ajili ya fainali ya Coppa Italia Lautaro Martinez amepewa mapumziko huku Marcus Thuram akiwa anatarajiwa kucheza na Bonny mbele . Lazio wanamrudisha nahodha wao Mattia Zaccagni aliyepona jeraha la paja .

Katika historia ya makabiliano kati ya timu hizi, Inter wana ubabe mkubwa wakiwa wameshinda mara 21 kwenye michezo 40 ya hivi karibuni, Lazio wakiwa na ushindi 13 na sare 6 . Mchezo wa mwisho kati yao Novemba 2025 ulimalizika kwa ushindi wa 2-0 wa Inter, lakini mchezo wa kukumbukwa ni wa Desemba 2024 ambapo Inter waliibuka na ushindi wa 6-0 uwanjani kwa Lazio.

 

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lazio wanatarajiwa kuanza na Daniel Maldini muhimu katika kuunganisha mashambulizi, huku Kenneth Taylor akiwa kiungo mlinzi . Inter watakuja na Nicolò Barella na Hakan Calhanoglu wakiwa ni wachezaji mhimili katikati . Marcus Thuram ndiye silaha kuu ya Inter mbele, na anatarajiwa kusumbua ulinzi wa Lazio ambao umekuwa ukiruhusu mabao mengi hivi karibuni .

Kwa kuwa mchezo huu hauna uzito mkubwa kwenye msimamo, unaweza kuwa wazi na wa kuvutia.. Licha ya Inter wakiwa wamekwishabeba ubingwa, wanabaki na ubora wa wachezji. Hata hivyo, Lazio nyumbani wana nguvu zao, hasa wakijiandaa kwa ajili ya fainali ijayo. Jisajili

YANGA YATOA JIBU KWA WANAOMTAKA DUBE MKUDE AWAINGIZA WANAJESHI VITANI