Habari za michezo

KILA PEMBE NI VITA, MAPAMBANO YA ASTON VILLA DHIDI YA LIVERPOOL LEO

Vardo May 15, 2026 4:43 pm

Patashika nguo mkuchanika Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00, uwanja wa Villa Park utashuhudia pambano la kipa wawili bora wa dunia Woodman Frederick (Liverpool) na Emiliano Martínez (Aston Villa).

Woodman Frederick ana uhodari wa kuruka na kusoma mchezo; kipa mwenye umri wa miaka 29  amecheza michezo mingi mara tu baada ya kuumia kwa kipa namba 1 Alisson Becker na namba 2 Mamardashvili Giorgi msimu huu.

Kwa upande wa safu ya ulinzi Martínez ana uwezo wa ajabu wa kuzuia penalti na mipira ya karibu; amekoswa mabao 4 pekee kwenye mipira 10 ya wazi ya wapinzani kwenye eneo lake.

Woodman Frederick ana faida ya kutumia miguu kusambaza mpira, Martinez ana faida ya kusimama vizuri kwenye mipira ya kona. Alisimam golini kwenye michezo mikubwa ukiwepo waliopoteza dhidi Manchester united ambapo aliruhusu mabao 3-2 na ile walio shinda dhidi ya Crystal palace 3-1 na Everton 2-1.

Upande wa kushoto wa Aston Villa, beki Lucas Digne atamlinda Gakpo Cody au Chiesa Federico wa Liverpool. Digne ana kasi ya kutosha kumfuata Gakpo Cody kwa mbio za mwendo mrefu, lakini ana udhaifu wakati Chiesa Federico anapogeuka upande wake wa kushoto na kupiga pasi ya nyuma.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kiungo Youri Tielemans (Villa) na Alexis Mac Allister (Liverpool) watapambana katikati ya uwanja. Tielemans ana sifa ya kupiga pasi ndefu za usahili na kufunga mabao kutoka nje ya eneo. Mac Allister ni mchezaji anayependa kumiliki mpira kidogo na kucheza pasi fupi za ushirikiano.

Hata hivyo Ollie Watkins (Villa) atamkabiliana na Virgil van Dijk (Liverpool) moja kwa moja. Watkins ni mfungaji bora wa Villa akiwa na mabao 11 msimu huu; ana kasi ya kutosha na uwezo wa kukimbia nyuma ya safu. Van Dijk amekuwa akishindwa kwa kasi msimu huu, hasa wakati anapokabiliwa na wachezaji wepesi kama Watkins.

TOURE AWEKA WAZI, SIMBA SC HAKUNA MZAHA NA MBIO ZA UBINGWA POINTI TATU ZAMTIBULIA HESABU GUARDIOLA