Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA WAKUBALI KUPITIA MAGUMU…WANAJIPANGA UPYA

0
HABARI ZA SIMBA LEO, Uongozi wa klabu hiyo imesikitishwa na kupoteza maombe muhimu msimu huuu, na kushindwa kufikia malengo waliyojiwekea kwa msimu wa 2023/24 Simba...

YUSUPH KAGOMA ANAITAKA SIMBA…AIGOMEA YANGA

0
IFAHAMIKE kwamba Simba na Yanga wote walikuwa wanaitaka huduma ya Yusuph Kagoma kutoka Singida, ila inaelezwa walioenda mbele ni Yanga kwa kuwasiliana na Mchezaji...

SIMBA YAFUATA KIFAA…ASANTE KOTOKO…ANAJUA KUFUNGA HUYO

0
INAELEZWA kwamba Mnyama Simba yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko ya Ghana, ambaye amecheza kwa...

MIGUEEL GAMONDI ANAONDOKA YANGA…NAHITAJI KUPUMZIKA NA FAMILIA

0
KOCHA MKUU wa Yanga Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na kalbu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila...

SIMBA YAMCHUKUA LAMECK LAWI…WAGOSI WA KAYA WAJIBU MAPIGO

0
KLABU ya Simba SC imeshakamilisha kandarasi ya beki wa kushoto wa Coastal Union Lameck Lawi, ambaye kila  kitu kipo tayari anasubiri tu kutambulishwa. Lameck  Lawi...

CHAMA AINGIA TAMAA…SIMBA WAWEKA NGUMU…MSHAHARA ANAOUTAKA

0
SAKATA LA CHAMA na Habari za Simba leo, Bado ngoma mbichi ambapo inaelezwa kwamba, kiungo huyo anataka kulipwa mshahara unaozidi wachezaji wote ikiwemo wa...

Thank You Willy Onana…Wenye Amapiano Yao Wanamtaka

0
INAELEZWA kwamba moja ya majina ambayo muda wowote kuanzia sasa, yatapewa mkono wa kwaheri katika klabu ya Simba SC, ni jina la Winga mwenye...

Simba Yatua kwa Kiungo Mganda…Ni Mrithi wa Thadeo Lwanga

0
KLABU ya Simba SC Inafanya mambo  yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina...

CHAMA NA MIQUISSONE…WACHOMOLEWA SIMBA…SABABU NI HIZI

0
Inaelezwa kwamba dili la Kiungo wa Zambia Clatous Chama kujiunga na Yanga linakaribia kukamilika, kutokana na upande wa Simba kushindwa kumtimizia mahitaji yake aliyoyataja...

PICHA YA FEITOTO INAYOTREND MTANDAONI…YANGA YAONYWA

0
BAADA ya  Klabu ya Yanga kutwaa taji lao la 3 mfululizo,  Kombe la Shirikisho la CRDB waliposti picha kwenye Ukurasa wao wa Klabu upande...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS