Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

SIMON MSUVA ATUA DAR USIKU…KISA TAIFA STARS…KIBU DENIS AKATAA KWENDA MAREKANI

0
Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa kusitisha safari yake ya kwenda Marekani kwaajili ya mapumziko ya mwisho wa msimu, hii...

ENG HERSI HAPOI…USAJILI WA MSIMU HUU…NI KUFURU

0
RAIS wa Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu vyote barani Afrika Eng Hersi Said, hataki kupoa hata kidogo, ni baada ya kutoboa siri ya klabu...

KIFAA ALICHOPATIWA DIARRA CHAWAPA YANGA UBINGWA.. UBINGWA MARA 4 MFULULIZO.

0
Mechi ya kisasi imeisha kwa Yanga kutwaa ubingwa wa 4 mfululizo, baada ya kuwafunga Azam FC kwa mikwaju ya penati 5-6, huku mlinda mlango...

FAINALI YA FA AZAM FC VS YANGA, KIPINDI CHA KWANZA…YANGA ANASHAMBULIA...

0
Mechi dume, unaweza kusema ni fainali bora kwa dakika 45, za kwanza zimetamatika bila kwa ubao kusoma 0-0, si Azam FC wala si Yanga...

YANGA YAZIPIKU SIMBA, AZAM FC UPIGAJI MASHUTI…YASUBIRI TUZO ZA TFF

0
KLABU ya Yanga msimu wa 2023/24 umekuwa mzuri sana kwa upande wao baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu, huku ikiweka...

FEITOTO YUKO TAYARI KWENDA SIMBA…ANAWASIKILIZA VIONGOZI

0
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto, amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata...

SABABU 4…KWANINI FAINALI YA LEO…NI VITA YA KISASI?

0
WATU wengi wanasema na wengine kusikia tu hii ni fainali ya kisasi kwa timu zote mbili Yanga SC na Azam FC, lakini hawajui sababu...

YANGA YAMPATIA DIARRA KIFAA MAALUM..KINAZUIA MAGOLI… NAMNA KINAVYOFANYA KAZI

0
KATIKA kuelekea mchezo wa fainal ya kiume, vita ya kisasi kwa Azam FC mbele ya Yanga, mabosi wa Yanga wameshtukia mchezo mapema, na kuamkua...

WALICHOSEMA AZAM FC KABLA YA MCHEZO WA FAINALI NA YANGA SC

0
Afisa Habari wa AZAM FC Hasheem Ibwe amewapiga mkwara mzito Yanga SC kuelekea mchezo wa fainali, Kombe la Shirikisho huko Zanznbiar. Mchezo huo wa Kombe...

YANGA YAWATEGA AZAM FC…FAINALI YA KISASI ZANZIBAR

0
MUDA wa kutafutana ubaya umefika, leo Juni 2, 2024 ndiyo siku  ya fainali  ya Kombe la  Shirikisho la CRDB, kati ya Azam FC dhidi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS