SIMBA NA YANGA KUITEKA ALGERIA KWA WAKATI MMOJA
Kwa mara ya kwanza, timu za Simba na Yanga zitakuwa nchini Algeria kwa wakati mmoja (ndani ya wiki moja) kwenye mechi za michuano ya CAF,…
Kwa mara ya kwanza, timu za Simba na Yanga zitakuwa nchini Algeria kwa wakati mmoja (ndani ya wiki moja) kwenye mechi za michuano ya CAF,…
KIUNGO wa Mpira Jonas Mkude anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa hana hofu na Kariakoo Dabi kutokana na uzoefu alionao muda wowote yupo…
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu amesema kwakuwa klabu hiyo inasafiri na kushiriki michuano mikubwa Afrika, wanatarajia kuanzisha chaneli mtandaoni. Kwa lugha ya kiarabu na…
MCHAMBUZI na Mwanachama wa Yanga Dominic Salamba amewamwagia maua yao Wananchi kwa kuwa na timu bora Afrika. Salamba ameipatia sifa Yanga kutokana na kufanya makubwa…
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo…
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450. Katika mechi…
BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi. Nyota huyo…
Wachambuzi wa michezo wameendelea kutoa maoni yao kuhusu timu za ndani zinashiriki michuano ya Kimataifa haswa kwa Simba na Yanga. Moja kati ya wachambuzi hao…
Baada ya kupangwa kwa droo ya Ligi ya Mabingwa na Yanga kujua watakutana na nani na nani katika hatua ya makundi, basi moja ya timu…
Klabu ya Simba imejikuta ikiangukia kwenye mikono ya waarabu kwa mara nyingine tena, na safari hii timu zote alizopangwa nazo zinatoka nchi za magharibi ya…