Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1084 POSTS 0 COMMENTS

JEAN AHUOA ATUMA SALAM KWA WALIBYA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Simba anayeongoza kwa asisti kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Jean Charles Ahoua amerejea tena uwanjani akiwa fiti kwa asilimia 100...

MSUVA AFUNGUKA HATMA YAKE TAIFA STARS

1
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, 30, ameeleza mikakati yake wakati akitua Jamhuri ya Iraq huko Asia Magharibi kwa ajili ya kujiunga timu...

KESI YA MAGONA NA YANGA KUSIKILIZWA LEO TENA.

0
Hatima ya uhalali wa rufaa dhidi ya Klabu ya Yanga, inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Septemba 9, 2024, wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es...

SABABU ZILIZOMRUDISHA BANDA BAROKA

0
WIKIENDI hii beki wa zamani wa Richard Bays, Abdi Banda alitambulishwa Baroka ya Afrika Kusini alikoondoka miaka sita iliyopita. Banda kwa mara ya kwanza alijiunga...

HATIMAYE ISRAEL MWENDA AINGIA KAMBINI…SHIDA IKO HAPA

0
NYOTA mpya wa Singida Black Stars, Israel Mwenda amewasili rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya hivi karibuni kuibuka mgogoro wa kimaslahi baina ya...

SIMBA NA YANGA NGOMA DROO KIMATAIFA

0
Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga...

MPANZU AILILIA SIMBA…HATAKI TENA KUCHEZA AS VITA

0
IKO WAZI kwamba Winga Mcongo Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk,kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake….ukweli ni kwamba Mpanzu...

MABAO 22 YA LIGI KUU YACHAMBULIWA…SIMBA AONGOZA

0
MABAO 22 yamefungwa katika michezo 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa mpaka sasa, 19 yakifungwa kwa njia ya kawaida na matatu kwa mikwaju...

SIMBA HAWATAKI KURUDIA MAKOSA HAYA MSIMU HUU.

0
WAKATI Mnyama akitarajia kushuka dimbani leo kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, Uongozi wa klabu hiyo umesema hawatarudia makosa yaliyojitokeza misimu mitatu...

COASTAL UNION YAISHUKURU SIMBA SUALA LA LAEMCK LAWI

0
BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu kuhusiana na usajili wa mchezaji, Lameck Lawi, imeamuliwa nyota huyo ataitumikia timu yake ya zamani, Coastal Union, imefahamika. Lawi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS