Abubakar
MZIZE ATABIRIWA MAKUBWA…EDO KUMWEMBE ATOA NENO
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize ambaye yupo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amekuwa na kiwango kizuri sana tangu kuanza kwa msimu huu,...
SABABU ZA KUIFUNGA ETHIOPIA ZATAJWA…TAIFA STARS KAZINI LEO
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo kinaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025,...
ATEBA: NITAFUNGA SANA SIMBA…MASHABIKI WATULIZWA
STRAIKA mpya wa Simba, Leonel Ateba, ameahidi kufunga mabao mengi akiwa na klabu hiyo, akiwaambia mashabiki kuwa huu ni msimu wa ushindi na mataji...
ENDAPO AZAM WAKIMTAKA MGUNDA, MIL 20 BENKI
WAKATI jana viongozi wa Azam FC wakitangaza kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Youssouph Dabo raia wa Senegal sambamba na wasaidizi wake...
SINGIDA BS WAMJIBU MWENDA…ATAKIWA KULIPA MIL 500
Uongozi wa Singida Black Stars umemtumia barua Israel Mwenda na uongozi wake wote pamoja na nakala kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF.
Barua...
HALMASHAURI KUJENGA VIWANJA VYAO…SIMBA NA YANGA VICHEKO TU
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inafikiria kuzielekeza Mamlaka bajeti zao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa maeneo...
MWENDA AFUNGUKA SAKATA LAKE…NINA HELA YA KUTUMIA..WAMEVUNJA MAKUBALIANO
BAADA YA Soka la Bongo kuripoti juu ya taarifa za Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, beki wa kulia Israel Mwenda, ambaye tulieleza kwamba amepanga...
SIMBA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI WIKIENDI HII
KLABU ya Simba inatarajia kucheza mechi ya kirafiki wikiendi hii kabla ya kusafiri kwenda Libya kucheza mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi...
RAIS SAMIA AMWAGA MAMILION TAIFA STARS…SIMBA, YANGA NA AZAM WAUNGANA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, alisema Rais Samia Suluhu Hassan ataungana na vilabu vya Simba, Yanga na Azam...
GAMONDI AVUNJA MAPUMZIKO YANGA…CBE WANA KAZI YA KUFANYA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameamua kutovunja kambi, badala yake ameendelea na mazoezi na kikosi kilichobaki, baada ya wachezaji 14 wa timu hiyo...