Abubakar
YANGA KIBARUANI LEO KUUSAKA UBINGWA WA AFRIKA
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatarajia kukutana na Vital'O kutoka Burundi katika mechi ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya...
SIMBA NA YANGA KUOGA MAMILIONI YA CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) limetangaza kutoa kiasi cha Dola 50,000 kwa kila timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...
METACHA APAMBANIA TUZO NA MATAMPI
ALIYEKUWA Mlinda Mlango wa zamani wa Yanga kwa sasa anadakia Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema msimu huu anaitaka ile tuzo ya kipa bora...
UJIO WA ATEBA SIMBA…WAWILI ROHO JUU…FREDY NAE MMMH
Klabu ya Simba jana imekamilisha usajili wa Leonel Ateba kutoka USM Alger ya Algeria na saa 4:00 usiku ikamtambulisha rasmi.
Wakati Wanasimba wakitamba na ujio...
YANGA YACHIMBA MKWARA MZITO…VIATL’O WAJIANDAE
KUELEKEA katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Vital’O dhidi ya Yanga uongozi wa Yanga umebainisha kuwa watawaonyesha kwa vitendo wapinzani hao.
Ni...
SHINDA MAMILIONI UKIWA UMEPOA! SLOTI YA VENI VIDI VICI
Furahia Mamilioni ya kutosha ukicheza sloti ya Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza sloti ya Veni Vidi Vici!
Mchezo huu wa Sloti ni...
GSM AMBADILIKIA MAGOMA…ANATAKA MIL 100
Mwanasheria Simon Patrick kwa niaba ya Mteja wake Ghalib Said Mohammed (GSM) wamemuandikia Demand Letter Notice Mwanachama wa Yanga Juma Ally Magoma wakitaka fidia...
BARUA YA WAZI KWA DENIS NKANE & SHOMARY KIBWANA…MUDA WA KUONDOKA...
Kwenu wanangu kabisa Rafiki zangu Mimi wa nguvu, line yangu kabisa nawakubali bila Shaka ni wazima huko kwenye majukumu yenu Mimi nataka niwape ujumbe...
USAJILI WA ATEBA NI KAMA MOVIE LA KUTISHA…ULIANZIA HUKU
Wakati mchakato wa kumsajili mshambuliaji mpya wa Simba, Christian Leonel Ateba Simba unaanza skauti wa Simba, Mels Daalder alimpendekeza mshambuliaji wa Red Arrows kutoka...
MGUNDA AFUNGUKA MAZITO…MASHABIKI KAENI KWA KUTULIA
BAADA ya Jeshi zima la Simba kutua salama Ethiopia, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda, amesema wachezaji wake wanajua kilichowapeleka nchini humo na...