Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

KIUNGO WA BOLI AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YA YANGA

0
MRITHI WA CHAMA ndani ya Yanga Farid Mussa ameweka wazi kuwa wanafanya kazi kwa ushirikiano kufikia malengo ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu...

GUEDE AWAPIGA MKWARA YANGA…WAPINZANI WANGU.

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mapema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo. Guede...

MIGUEL GAMONDI AWAPA 5 MASTAA WAKE.

0
KOCHA Mkuu wa Yanga MIGUEL Gamondi, amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na...

AWESU AWEKA NGUMU KMC…SIMBA YAONGEZA DAU LA USAJILI KUMBAKIZA

0
KMC tayari wameshamtoa AWESU AWESU kwenye mipango yao kuelekea msimu ujao na Nahodha wao mpya ni KENNY ALLY MWAMBUNGU, kilichopo sasa kati yao ni...

TATIZO LA SIMBA WALA SIO STRAIKA…INSHU IKO HIVI

0
Inawezekana ni kweli kocha Fadlu Davids anaona wachezaji hawampi kile anachokihitaji kwa sasa, lakini ukweli ni kwamba hajaliangalia tatizo la msingi la timu hiyo...

VITAL’O WAMTAJA AZIZ KI, MAXI NA DIARRA

0
Uongozi wa timu ya Vitalโ€™O ya Burundi umewataja wachezaji wa Yanga SC, kipa Djigui Diarra na viungo Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI kama...

SAKATA LA AWESU NA SIMBA LIPO HIVI…KIJANA AGOMA KURUDI

0
Dili la Kiungo Awesu limewapalia Simba baada ya KMC kukimbilia Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka (TFF), kushtaki kuwa,...

ISHU YA NGOMA SIMBA IPO HIVI…WAARABU WAMUITA CHAP

0
Taarifa ambazo tunazo zinabainisha kwamba Mchezaji wa Simba Fabrice Ngoma anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji maisha yake yanaweza yasiwe marefu klabuni hapo baada ya...

CEO FOUNTAIN GATES…KAGOMA TUMEMUUZA SIMBA…NAWASHANGAA YANGA

0
CEO wa Fountain Gate FC (Zamani Singida Fountain Gate) amekiri kushangazwa na taarifa za Yanga kufungua kesi na kumuwekea pingamizi mchezaji Yusuf Kagoma "Ni kweli...

LAMECK LAWI AGONGA MWAMBA UBELGIJI…SIMBA WAMBADILIKIA

0
SAKATA la beki Lameck Lawi limeibua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa huenda mchezaji huyo akarudi nchini kutokana na dili lake na K.A.A Gent...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS