Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

MKWARA WA GAMONDI YANGA…WAKOLEZWA MOTO NA INJ HERSI

0
MASHABIKI wa Yanga wanatamba wanavyotaka, hata salamu zao tu zimekaa kwa kejeli wakitambia mwanzo wa msimu wakianza kwa kuchukua mataji wakiwachapa vigogo Simba na...

AYOUB LAKRED, NGOMA MUDA WOWOTE WANAONDOLEWA SIMBA…USAJILI WA HUYU UNANUKIA

0
SIMBA imefikia uamuzi wa kushusha straika dakika za jioni kabla ya dirisha la usajili halijafungwa Agosti 15, mwaka huu ikiwa zimebaki takribani siku mbili...

FABRICE NGOMA AUWASHA MOTO SIMBA…AOMBA KUONDOKA.

0
KIUNGO wa Simba Fabrice Ngoma, ameonyesha kuto pendezwa na utaratibu wa uongozi wa benchi la ufundi la klabu ya Simba SC, kumuanzisha benchi mchezaji...

YANGA SIRI IMEFICHUKA…MIL 300 ZATUMIKA KUIANGAMIZA SIMBA…AZAM WAMO

0
YANGA HII UNAIFUNGAJE? wengine wanasema WE HUOGOPI? ila ukweli wa mafanikio ya Yanga haswa kwenye mechi mbili za Ngao ya Jamii kati ya Simba...

PRINCE DUBE ANA MOTO…TAKWIMU ZAKE TANGU ATUE YANGA ZINATISHA

0
Misimu 4, Prince Dube hakushinda taji lolote akiwa na Azam FC, lakini ndani ya mwezi 1 akiwa Yanga tayari ana mataji (2) Takwimu za Prince...

FEI TOTO AMFUATA ENG HERSI…AMKUMBATIA HADHARANI

0
MUDA ambao timu ya Azam FC inakwenda kuchukua medali ya mshindi wa pili wa michuano ya Ngao ya Jamii, kama kuna tukio kilikuwa linasubiriwa...

KUHUSU CHAMA…MZIZE AMPA MAUA YAKE

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne...

NI MUDA WA KUTUBU…KAULI TATA ZA WACHAMBUZI KUHUSU YANGA

0
BAADA ya Yanga kufanya mabalaa yake kwenye michezo yake miwili ya Ngao ya Jamii na kutwaa tena taji hilo, wamesababisha kutengeneza stori kubwa mtaani...

STRAIKA WA USM ALGER AHITAJIKA CHAP SIMBA

0
INAELEZWA kwamba Simba SC wako karibu na kumsajili mshambuliaji wa kati kutoka Cameroon, Leonel Ateba (25), yote yamehakikishwa. Mchezaji huyo amevutiwa zaidi na Project ya...

NSIMBA YAWATULIZA MASHABIKI ZAKE…KAULI NI MOJA TU

0
MFUNGAJI wa bao pekee katika mechi ya jana kati ya Simba na Coastal Union, Salehe Karabaka, amewatoa hofu wanachama na mashabiki wa timu hiyo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS