Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

GAMONDI BADO HAJAMALIZA…ATOA KAULI YA KIBABE LEO

0
MUARGENTINA wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema moja ya falsafa anazokuja nazo msimu ujao ni kutoruhusu bao kirahisi kwenye mchezo wowote ambao timu yake itacheza. Gamondi...

TAMKO LA SIMBA MUDA HUU…KUTAMBULISHA STRAIKA MPYA.

0
LICHA ya kikosi cha Simba kushika nafasi ya tatu kwenye Ngao ya Jamii na washambuliaji wake kufunga bao moja ndani a dakika 180 uongozi...

DAKIKA 10 NGUMU KWA SIMBA…NGOMA KUKOSA MECHI MOJA TU.

0
KATIKA MCHEZO wa Simba vs Coastal Union uliomalizika kwa Mnyama kushinda bao 1-0, kuna dakika 10 za mwisho zilikuwa za presha kwa wachezaji wa...

MOLOKO AELEZA A-Z INSHU YA NAMUNGO…YANGA PIA

0
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko amefunguka kilichomzuia asirudi Tanzania baada ya kutakiwa na Namungo kisha kujiunga na timu ya Diyala SC iliyopo...

KIUNGO SIMBA ATAMBULISHWA BURUNDI

0
BAADA ya kupewa mkono wa kwaheri na Fountain Gate Princess siku nne zilizopita hatimaye kiungo wa zamani wa Simba, Joelle Bukuru amejumuishwa kwenye kikosi...

KOLEZA MZUKA WA MAMILIONI YA EXPANSE KASINO

0
Ongeza Mzuka na michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, promosheni yenye kutoa Mamilioni kwa wachezaji wote. Jiunge na   Meridianbet kasino upate bonasi ya...

BALAA JINGINE LEO…SIMBA NA COASTAL KUMALIZANA UWANJANI

0
KUNA Mambo mawili yanaweza kuifanya mechi kati ya Simba na Coastal ya kuwania mshindi wa tatu ikawa na mvuto na ushindani wa aina yake. Kwanza...

HUKU AZIZ KI, KULE FEI TOTO…MTASEMA WENYEWE NANI BORA

0
MSIMU mpya wa Ligi kuu unarudi tena kuanzia Agosti 16 ambapo ile vita kati ya Aziz Ki na Fei Toto imerejea tena. Katika mchezo wa...

KAULI YA GAMONDI LEO…KUELEKEA FAINALI, YANGA VS AZAM

0
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kwamba michezo ya Ngao ya Jamii inaongeza ubora zadi kwa Kikosi chake,  na haswa mechi dhidi ya...

SABABU MECHI ZA LIGI KUU KUTOTUMIA VAR

0
BODI ya Ligi imesema hakutakuwa na video ya kusaidia waamuzi VAR katika mechi za mwanzo wa Ligi Kuu mpaka hapo baadaye kutokana na marefa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS